Last Updated on 23/05/2021 by Tabibu Fadhili Paulo
.
Siku ya hatari kupata ujauzito:
Je unahitaji au unataka kujuwa siku yako ya hatari kupata ujauzito?
Unataka kujuwa ni zipi hasa au siku ipi hasa unayoweza kupata ujauzito?
Tumia calculator hiyo hapo juu kufahamu hilo
a)Andika tarehe ya siku ya kwanza ulipoanza kuona siku zako katika hedhi yako ya mwisho
b)Andika mzunguko wako ni wa siku ngapi
c)Bonyeza kitufe chenye neno TUMA
Utapewa majibu hapa hapa
Kikokotoo (calculator) cha siku ya kupata ujauzito
Soma pia na hii > Dawa ya asili ya kupata mimba haraka
Imesomwa na watu 2,868