Last Updated on 21/02/2023 by Tabibu Fadhili Paulo
Dawa ya asili ya kuzibua mirija ya uzazi
Mirija ya uzazi hujulikana kwa kitaalamu kama “Uterine tubes” au ‘fallopian tubes’ kwa kiingereza rahisi.
Huwa ni mirija miwili inayokaa pande mbili za mfuko wa kizazi (uterus) ambayo hubeba yai lililokomaa kutoka kwenye kifuko cha yai (ovary) na kulisafirisha kwenda kwenye mfuko wa kizazi(uterus).
Mirija ya uzazi pia hubeba mbegu za mwanaume zinazokuwa zikiogelea kwenye shingo ya kizazi na kuzisafirisha ili ziweze kukutana na yai la mwanamke tayari kwa kazi ya urutubishaji.
Dalili za kuziba kwa mirija ya uzazi:
Kuziba kwa mirija ya uzazi ni hali ambayo huonyesha dalili zake kwa nadra sana.
Wanawake wengi hushindwa hata kutambua kuwa wana tatizo la kuziba kwa mirija ya uzazi mpaka pale wanapokuwa wakijaribu kutafuta ujauzito lakini wasiupate.
Hata hivyo katika baadhi ya wanawake hali hii inaweza ikaonyesha dalili zifuatazo:
1. Maumivu makali wakati wa hedhi
2. Maumivu makali wakati wa tendo la ndoa
3. Maumivu wakati wa kukojoa
4. Kutokwa na uchafu ukeni
5. Kushindwa kupata ujauzito
6. Mirija ya uzazi kuvimba na kujaa majimaji
7. Mimba kutunga nje ya mji wa uzazi (ectopic pregnancy)
8. Maumivu makali chini ya kitovu
9. Maumivu ya nyonga
Dawa ya asili ya kuzibua mirija ya uzazi >Uzazi mjarabu
Uzazi mjarabu inafanya fanyaje ili kuzibua mirija ya uzazi?
Uzazi mjarabu ni dawa ya asili ya uhakika ya kuzibua mirija ya mayai ya Uzazi sababu Inatibu na kuzuia yale yote yanayoweza kuleta tatizo la kuziba kwa mirija ya uzazi.
*Uzazi mjarabu ni suluhisho moja (one stop center) kwa matatizo yote yanayoweza kumpelekea mwanamke asipate ujauzito
*Inatibu maambukizi kwenye mji wa uzazi maarufu kama PID ambayo ni kisababishi namba moja cha kuziba kwa mirija ya uzazi.
*Inaondoa sumu mwilini na kusafisha mwili wako wote ikiwemo mji wako wa uzazi. Sumu ni moja ya vitu vinavyoweza kusababisha mirija ya uzazi kuziba.
*Kama mirija ya mayai imeziba mara utakapoanza kutumia Uzazi mjarabu utaanza na kuharisha na Kutapika siku 3 au 5 hivi za mwanzo.
Wengi waliotumia dawa wameripoti matukio haya na uzazi mjarabu inafanya hivyo maalumu kusafisha mwili na mishipa na mirija ya uzazi ili kuizibua na kuondoa kama ni sumu au mafuta humo njiani vinavyofanya mirija ionekane imeziba.
*Hakuna bakteria yoyote mbaya anaweza kuendelea kuzunguka mwilini mwako kama unatumia uzazi mjarabu na hivyo itakuzuia dhidi ya magonjwa ya maambukizi ambayo yanaweza kusababisha mirija ya mayai kuziba kama PID, pangusa (chlamydia), Kisonono na kadharika.
*Uzazi mjarabu inatibu na kuzuia maumivu ya aina yoyote kabla, wakati na baada ya siku zako.
Maumivu haya ya wakati wa hedhi ni moja ya sababu za kuziba kwa mirija ya uzazi.
Maumivu yajulikanayo kwa kitaalamu kama ‘endometriosis’ ni moja ya sababu kuu za kuziba kwa mirija ya uzazi.
Unapotumia uzazi mjarabu hutaona maumivu yoyote wakati wa hedhi, utajiona ghafla tu damu yako inaanza kutoka bila maumivu yoyote hata kama umekuwa ukisumbuliwa na chango la uzazi kwa miaka mingi.
Uzazi mjarabu ni dozi ya miezi miwili na inatumika wakati wote hata ukiwa kwenye siku zako, hata ukipata ujauzito ndani ya mwezi wa kwanza tangu uanze kutumia dawa bado utaendelea kutumia dawa kwa kuwa moja ya kazi zake ni kuzuia ujauzito usitoke.
*Kwa haraka Uzazi mjarabu Inaondoa uvimbe kwenye kizazi hata kama ni uvimbe mkubwa na umedumu nao kwa muda mrefu.
Inao uwezo wa kuondoa vivimbe sehemu yoyote ya mwili ikiwemo uvimbe kwenye mirija ya mayai ya Uzazi inayopelekea kuziba kwa mirija hiyo ya Uzazi.
Tayari ninazo shuhuda kadhaa za wamama na wadada ambao wametumia Uzazi mjarabu na kupata matokeo mazuri ikiwemo kupata ujauzito na watoto.
Kama kuna sehemu wamekuambia tatizo lako la kuziba mirija haliwezi kutibika basi wewe tabasamu tu njoo uchukuwe uzazi mjarabu kiboko ya kuzibua mirija ya mayai ya Uzazi na matatizo mengine yanayohusiana na uzazi kwa pamoja.
Ikiwa unahitaji Uzazi mjarabu kwa ajili ya kuzibua mirija ya mayai niachie tu ujumbe WhatsApp +255714800175.
Uzazi mjarabu inagharimu 140,000 (laki 1 na elfu 40) ni ya kunywa kwa siku 60 mfululizo.
Mimi napatikana Kibugumo Mji Mwema Kigamboni Dar Es Salaam, ofisi yangu inaitwa TUMAINI HERBAL LIFE.