Last Updated on 28/12/2023 by Tabibu Fadhili Paulo
Kupata ujauzito tena baada ya ule uliokuwa nao kabla kuharibika
Nikupe pole kama umetokewa na hali ya ujauzito kukutoka, nafahamu siyo hali ya kawaida kukupata lakini kuna wakati kuna vitu tunatakiwa tu kumwachia na kumshukuru Mungu kwa yote.
Pengine ni mhimu pia ujipe muda wa kutosha wa kuhuzunika juu ya hasara ya kupoteza ujauzito wako tofauti na matarajio yako.
Ujauzito kutoka au ujauzito kuharibika ni hali inayowatokea wengi kila mwaka, hivyo usije ukakaa unajilaumu juu ya kilichokutokea ukifikiri ni wewe tu ndiyo umekutana na hali hiyo hapa duniani.
Kwahiyo kama unataka kuhuzunika au kulia au kujilaumu unaweza pia kufanya hivyo lakini kwa muda mfupi tu kisha ruhusu maisha mengine yaendelee kwa sababu mimi naamini bado kuna tumaini kwako la kuja kupata ujauzito mwingine tena huko mbeleni.
Kama unapenda kusoma au kujifunza ni nini hasa ndiyo kinaweza kuwa ndiyo sababu ya kuharibika kwa ujauzito wako bonyeza hapa
Sasa baada ya ujauzito kuharibika unaweza kuwa unajiuliza ni lini uanze kutafuta ujauzito mwingine?
Kama swali lako ni hilo basi soma hii makala mpaka mwisho.
Baada ya ujauzito kukutoka bila kujali sababu ni nini hasa cha huo ujauzito kuharibika ni mhimu ujipe muda wa kupona tatizo lako kihisia na kimwili.
Kama ni huzuni hakikisha zimepita, kama ni maumivu au majeraha yoyote yaliyotokea kama matokeo ya kuharibika kwa huo ujauzito vyote viwe vimepona ndipo uanze kutaka kutafuta ujauzito mwingine.
Hayo yakipita sasa suala la lini upate ujauzito mwingine linakuwa ni uamuzi wako binafsi.
Kuna watu wanafikiri labda itawalazimu kusubiri miezi 6 au mwaka mmoja ndipo wajaribu kupata tena ujauzito baada ya ujauzito walioupata kabla kuharibika.
Kwa kawaida baada ya ujauzito kuharibika inaweza kuchukua wiki 2 au wiki 3 au ikizidi sana mwezi mmoja kwa mama aliyeharibikiwa ujauzito mwili wake kuwa tayari kwa kupata ujauzito mwingine.
Kwahiyo ukipata ujauzito mwingine baada ya mwezi mmoja au miezi miwili au mitatu baada ya ujauzito mmoja kuharibika ni jambo sahihi.
Wapo wanawake waliofanikiwa kupata ujauzito mwingine tena muda mchache tu (pengine wiki 2 hivi) baada ya ujauzito uliopita kuharibika na wamefanikiwa kuwa na ujauzito salama na kujifungua salama.
Kila mwanamke ni tofauti.
Zipo pia baadhi ya tafiti zinazothibitisha kuwa kupata ujauzito mwingine ndani ya miezi 6 tangu ujauzito mwingine ukutoke kunapunguza uwezekano wa kutokea kuharibika kwa ujauzito mpya.
Wanawake wanaopata ujauzito mwingine tena ndani ya miezi 6 tangu ujauzito uliopita kuharibika wameonekana kuwa na asilimia ndogo sana ya ujauzito mpya kuharibika tena.
Pengine ni hekima kuzungumza na daktari wako wa karibu kama una magonjwa mengine unayofikiri inafaa utibiwe kwanza kabla ya hujaanza safari yako ya kutafuta ujauzito mwingine.
Kama ujauzito uliokutoka ulikuwa una zaidi ya miezi mitano ni mhimu kuzungumza na daktari kwanza kupata ushauri.
Zipo pia baadhi ya tafiti zinazothibitisha kuwa kupata ujauzito mwingine ndani ya miezi 6 tangu ujauzito mwingine ukutoke kunapunguza uwezekano wa kutokea kuharibika kwa ujauzito mpya.
Wanawake wanaopata ujauzito mwingine tena ndani ya miezi 6 tangu ujauzito uliopita kuharibika wameonekana kuwa na asilimia ndogo sana ya ujauzito mpya kuharibika tena.
Tafiti haisemi kwanini inatokea hivi na tafiti haihamasishi mtu kwenda mbio kutafuta ujauzito mwingine tena baada ya ule uliokuwa nao kabla kuharibika, lakini tafiti inathibitisha kwamba mwanamke aliye tayari kutafuta ujauzito mwingine tena baada ya ule uliopita kuharibika “anaweza kufanya hivyo” .
Pengine ni hekima kuzungumza na daktari wako wa karibu kama una magonjwa mengine unayofikiri inafaa utibiwe kwanza kabla ya hujaanza safari yako ya kutafuta ujauzito mwingine.
Pia ni mhimu kumsikia daktari anasemaje juu ya wazo lako la kutaka kupata ujauzito mwingine kama umetokewa na kutokwa na ujauzito mbili au tatu kuharibika kwa kufuatana (yaani kila ujauzito unaoupata unakutoka mara 2 au 3 mfululizo).
Wengine wanaopaswa kusubiri sana kabla ya kupata ujauzito mwingine ni wale waliopata ujauzito na ujauzito huo ukatunga nje ya mfuko wa uzazi (ectopic pregnant).
Kwahiyo kama unataka nikujibu jibu la jumla ni muda gani usubiri ili kupata ujauzito mwingine tena baada ya ule uliokuwa nao kabla kuharibika basi niseme tu ni vigumu kupata jibu moja ambalo litakuwa ni jibu la jumla kwa kila mwanamke.
Baadhi ya wanandoa wanapatwa na wasiwasi wa kutafuta ujauzito mwingine na wanahitaji muda zaidi ili kuponya fikra na miili yao juu ya hasara iliyowatokea.
Wakati wanandoa wengine wanaona ni mhimu kupata ujauzito mwingine haraka kama sehemu ya kupata tena kilichopotea na hivyo kujaribu tena linakuwa ni sehemu ya kupona kwao hasa kiakili.
Kumbuka hatufanani na kila mmoja hupokea tofauti matukio kama haya yenye uwezo wa kukatisha tamaa.
Kuchukua muda na kuzungumza na mtu unayemwamini kunaweza kusaidia kufikia suluhisho kwa haraka.
Mtu huyo unayemwamini anaweza kukupa ushauri au mwongozo anaweza kuwa ni mzazi wako au rafiki yako au hata mtu mzima yoyote mkubwa kwako unayeona ana uzoefu juu ya tatizo lililokutokea.
Ikiwa unahitaji dawa ya asili kwa ajili ya kuzuia ujauzito usitoke niachie ujumbe WhatsApp +255714800175
Ninayo dawa nzuri sana ya asili kwa ajili ya kuzuia ujauzito usitoke inaitwa uzazi mjarabu.
Uzazi Mjarabu ni dawa ya asili inayoimarisha afya ya mfumo mzima wa homoni huku ikizisaidia kuwa na afya bora tezi za pituitari, adreno na thyroid (hizi zote ni tezi zinazohusika na kazi za kuweka sawa homoni).
Uzazi Mjarabu inao uwezo wa kuzidhibiti homoni mhimu zinazohusiana na mfumo wa uzazi kwa mwanamke.
Uzazi Mjarabu husaidia kuisisimua au kuiamsha tezi ya pituitari.
Wakati tezi hii inapokuwa imewezeshwa kufanya kazi zake kwa usahihi na kwa kiwango kinachohitajika, mfumo mzima wa homoni unakuwa sawa.
Katika mwili wa mwanamke Uzazi Mjarabu inafanya kazi ya kuidhibiti na kuiweka sawa homoni mhimu ijulikanayo kama ‘estrogen’.
Usawa wa homoni hii ya Estrogen ukiwa juu zaidi au chini zaidi ya inavyohitajika unaweza kupelekea mwanamke kutopata ujauzito au ujauzito wake kuharibika kirahisi mwezi mmoja mpaka mitatu ya mwanzo.
Usawa uliozidi wa homoni hii ya estrogen unaweza kupelekea usawa wa homoni nyingine inayohusika na uzazi ‘progesterone’ kuwa wa chini sana.
Uzazi Mjarabu inasaidia kuongeza kiwango cha homoni ya progesterone jambo ambalo ni mhimu ili kubaki na ujauzito wenye afya na salama.
Mara zote kinga ni bora kuliko tiba.
Dawa hii inashauriwa itumike mwezi mmoja kabla na miezi miwili baada ya kuwa na ujauzito ili kukupa ujauzito usio na mgogoro na kuzuia mimba kuharibika kirahisi.
Uzazi Mjarabu ni dawa ya asili yenye mchanganyiko wa mitishamba na mimea mbalimbali ya asili.
Ni dawa ya asili yenye uwezo wa kutibu matatizo mbalimbali yanayosababisha ugumba kwa wanawake kwa pamoja.
Inasaidia kuweka sawa homoni, kuondoa uvimbe kwenye kizazi, kupevusha mayai, kuzuia ujauzito usiharibike, kuzibua mirija, kutibu maambukizi kwenye kizazi, kutoa sumu mwilini, kuleta ute wa uzazi na mengine mengi kwa pamoja.
Dawa hii ina viinilishe, madini na vitamini zote mhimu ili kuimarisha kinga ya mwili na kurudishia viinilishe vyote mhimu kwa afya ya uzazi ya mwanamke.
Uzazi mjarabu ina madini na vitamini mhimu za asili zitokanazo na miti zifuatazo kwa uchache:
1. Vitamini B6
Kazi kubwa ya vitamini B6 ni kusaidia mimba kukaa sawa na salama wiki mbili za mwanzo tangu ujauzito utungwe (Luteal phase).
Hiki ni kipindi cha maandalizi cha kipindi kingine kijacho katika safari ya ujauzito na ni lazima mazingira yawe ya afya katika mji wa uzazi wa mwanamke ili kweli ujauzito uendelee kukua.
Hivyo siku hizi 14 za mwanzo vitamini B6 ni ya mhimu ili ujauzito ubaki na afya.
Kama huna hii vitamini vya kutosha basi hizi siku 14 hazitafika na ndani ya siku 7 au 10 ujauzito utakutoka.
2. Vitamini B12
Vitamini B12 ni vitamini mhimu sababu husaidia kuweka sawa homoni.
Kama matokeo yake inakusaidia kupata siku zako vizuri na kama siku zako zinaenda vizuri basi ni rahisi pia kwako kupata ujauzito wenye utulivu na afya bora ya mtoto.
Ukosefu au uchache wa vitamini hii mwilini ni moja ya sababu inayoweza kusababisha ujauzito kuharibika.
3. Vitamini C
Vitamini C imekuwa ikihusishwa na uzazi kwakuwa inasaidia kuweka sawa homoni na kukupa mzunguko mzuri wa hedhi vitu ambavyo ni mhimu ili uwe na afya ya kuweza kupata ujauzito.
Hii ni vitamini mhimu kwa kinamama ambao wamekuwa wakitumia dawa za uzazi wa mpango kwa kipindi kirefu.
Husaidia mji wa uzazi uwe tayari na sawa kwa ajili ya kutunga ujauzito.
Vitamini hii inaisapoti homoni ya ujazi ijulikanayo kama ‘progesterone’ katika mwili na kuimarisha kuta za mji wa uzazi baada ya mimba kutungwa.
Hii ni vitamini mhimu sana katika kuimarisha kinga ya mwili kwa ujumla wake.
Wakati mwingine kinga ya mwili inapokuwa hafifu inapelekea ujauzito kuharibika kirahisi sana.
Ujauzito unategemea sana afya ya jumla ya mama na siyo kuangalia afya ya uzazi na ya mji wa uzazi tu.
Mama mjamzito anapokuwa na kinga nzuri ya mwili kila kitu kwenye mwili wake kitakaa sawa ikiwemo na ujauzito wake.
4. Vitamini D
Upungufu wa Vitamini D umekuwa ukihusishwa na ugumba moja kwa moja.
Tafiti zinaonyesha upungufu wa vitamini D unaathiri tishu au ogani za uzazi za mwanamke kwamba ogani hizo haziwezi kufanya kazi kwa ufanisi na kuleta matokeo chanya.
Vitamini D pia ina umhimu mkubwa katika kukua kwa seli na ufanyaji kazi wake.
Tafiti zinaonyesha wanawake wenye vitamini D ya kutosha wanakuwa na mji wa uzazi mzuri na wenye afya na hivyo kusaidia ujauzito usitoke kirahisi.
5. Vitamini E
Bila Vitamini E ni vigumu kupata ujauzito.
Hii ni vitamini mhimu katika kulinda afya ya seli zetu ili zisidhurike kirahisi na hufanya kazi ya kuondoa sumu mwilini na kusafisha mwili wote ikiwemo mji wa uzazi bila kukuachia madhara yoyote mabaya.
Hii inajumuisha seli za mayai ya uzazi.
Kuta zinazozunguka yai la uzazi la mwanamke zimetengenezwa na hii vitamini E.
6. Madini ya Folate au ‘folic acid’.
Kuwa na kiasi cha kutosha cha madini haya ni jambo la mhimu ikiwa unahangaika kupata ujauzito.
Pia madini haya ni mhimu mwilini ili kuzuia ujauzito usitoke.
Ni mhimu mwili uwe na madini haya mapema wakati wowote unapojiandaa kushika ujauzito.
Ndiyo sababu napendekeza kama una tatizo la ujauzito kutoka utumie uzazi mjarabu mwezi mmoja kabla ya kutafuta ujauzito na miezi miwili tena baada ya kupata ujauzito.
Ukisubiri mpaka upate ujauzito ndiyo uanze kutafuta haya madini kwani tayari utakuwa umeshachelewa.
7. Madini ya chuma
Madini ya chuma yana uhusiano wa moja kwa moja na uzazi.
Yanahitajika ili kuzizalisha homoni mbili mhimu za uzazi ambazo ni estrogen na progesterone, ambazo ni homoni mhimu kwa utungaji wa kawaida wa ujauzito (yaani ujauzito wenye afya).
Tafiti zinaonyesha wanawake wenye kiasi kidogo cha madini haya mwilini mwao wanapata wakati mgumu katika kushika ujauzito.
Mara tu upatapo ujauzito madini ya chuma ni ya mhimu sana ili kuwa na ujauzito wenye afya kipindi chote cha miezi 9.
8. Madini ya Zinki
Madini ya zinki ni mhimu kwa ajili ya afya ya uzazi ya mwanamke.
Kwa wanawake zinki husaidia uzalishwaji wa mayai na kuyaweka mayai yenye afya na kuweka sawa homoni.
Upungufu wa madini ya zinki pia unahusishwa na mimba kuharibika katika wiki za mwanzo mwanzo tangu kutungwa kwake.
Hivyo kama umekuwa na bahati ya kupata ujauzito halafu haichukuwi muda zinatoka kuna uwezekano mkubwa una kiasi kidogo cha madini ya zinki kwenye mwili wako.
Njoo tuchati WhatsApp +255714800175