Author: Tabibu Fadhili Paulo

Style za kupata mimba

Style za kupata mimba Kwenye makala hii naeleza kwa kina ni staili gani hasa ya tendo la ndoa inaweza kukusaidia kupata mimba. Kama umekuwa ukijiuliza ni staili gani hasa ya tendo la ndoa inaweza kukusaidia kupata ujauzito kwa haraka, basi leo ndiyo mwisho wa tatizo lako. Unapotaka kupata ujauzito kwa kawaida wewe na mwenza wako […]

Kupata ujauzito tena baada ya ule uliokuwa nao kabla kuharibika

Kupata ujauzito tena baada ya ule uliokuwa nao kabla kuharibika Nikupe pole kama umetokewa na hali ya ujauzito kukutoka, nafahamu siyo hali ya kawaida kukupata lakini kuna wakati kuna vitu tunatakiwa tu kumwachia na kumshukuru Mungu kwa yote. Pengine ni mhimu pia ujipe muda wa kutosha wa kuhuzunika juu ya hasara ya kupoteza ujauzito wako […]

Maombi ya kupata ujauzito

Maombi ya kupata ujauzito Kwa wewe ambaye ni mwanamke wa imani, tunakuletea maombi ya kupata mtoto, maana kwa Mungu hakuna lisilowezekana. Na Biblia inatufundisha matukio mengi ambapo neema ya Bwana inadhihirishwa kupitia uzazi. Kupambana na utasa kunaweza kuwa moja ya mitihani migumu zaidi ambayo ndoa hupitia. Lakini usipoteze imani na kumlilia Mungu. Maombi ya kupata […]

Sababu za mwanamke kushindwa kupata ujauzito

Sababu za mwanamke kushindwa kupata ujauzito Nini husababisha ugumba kwa wanawake? Mayai kutokomaa ipasavyo: Tatizo la mayai kutokukomaa vema ndilo chanzo na sababu kuu ya wanawake wengi kushindwa kushika ujauzito na hii inachukua karibu asilimia 30 ya wanawake wote wagumba. Habari njema ni kuwa tatizo hili linaweza kurekebishwa kirahisi ikiwa mwili utapewa vile viinilishe mhimu […]

Jinsi ya kupata ujauzito kwa haraka

Jinsi ya kupata ujauzito kwa haraka Kwenye makala hii naeleza kwa kirefu jinsi ya kupata ujauzito kwa haraka. Nitazijadili baadhi ya njia rahisi za kupata ujauzito kwa haraka. Fuatana na mimi mpaka mwisho. Naitwa Fadhili Paulo ni Tabibu wa Tiba asili, napatikana Kibugumo Mji Mwema Kigamboni Dar Es Salaam. Ikiwa umekuwa ukitafuta mbinu za kukusaidia […]

Jinsi ya kuongeza hamu ya tendo la ndoa kwa wanawake

Jinsi ya kuongeza hamu ya tendo la ndoa kwa wanawake Kwenye makala hii naeleza na kukupa suluhisho juu ya jinsi ya kuongeza hamu ya tendo la ndoa kwa wanawake. Inawezekana ukawa unaichukulia poa hali hii lakini napenda kukujulisha siyo jambo dogo wala usilichukulie poa. Sasa kabla sijakuambia unaweza kutumia nini ili kurejesha hamu yako ya […]

Chakula cha mgonjwa wa PID

Chakula cha mgonjwa wa PID Moja ya ugonjwa mbaya sana na unaowakera sana wanawake ni ugonjwa ujulikanao kama PID au Pelvic Inflammatory Disease. Ugonjwa huu ni maambukizi (infections) kwenye via vya uzazi vya mwanamke na dalili zake ni pamoja na kutokwa na uchafu ukeni wenye harufu kali na inayokera kama vile shombo ya samaki na […]

Je PID ni ugonjwa wa zinaa?

Je PID ni ugonjwa wa zinaa? Huenda ukawa unajiuliza bila kupata majibu sahihi ikiwa PID ni ugonjwa wa zinaa au la… Kwenye makala hii nitakufafanulia juu ya hili na utakuwa na amani hatimaye. PID ni kifupi cha maneno ya kiingereza yanayosomeka kama ‘Pelvic Inflammatory Disease‘. Kwa Kiswahili rahisi PID ni maambukizi kwenye via vya uzazi […]

Dawa ya asili ya kuzibua mirija ya uzazi

Dawa ya asili ya kuzibua mirija ya uzazi Mirija ya uzazi hujulikana kwa kitaalamu kama “Uterine tubes” au ‘fallopian tubes’ kwa kiingereza rahisi. Huwa ni mirija miwili inayokaa pande mbili za mfuko wa kizazi (uterus) ambayo hubeba yai lililokomaa kutoka kwenye kifuko cha yai (ovary) na kulisafirisha kwenda kwenye mfuko wa kizazi(uterus). Mirija ya uzazi […]

Chakula sahihi kwa mama anayenyonyesha

Chakula sahihi kwa mama anayenyonyesha Mama anayenyonyesha ni lazima apate chakula sahihi kwake na cha kutosha. Hii ni kwa sababu chakula anachokula hakimhusu yeye peke yake bali kinamhusu pia mtoto anayenyonyesha. Katika muda wote wa masaa 24 mwili wa mama anayenyonyesha huwa upo bize ukitengeneza maziwa ambayo ndicho chakula cha mtoto. Katika kufanya kazi hiyo […]

Sababu za kupoteza hamu ya kula wakati wa ujauzito

Sababu za kupoteza hamu ya kula wakati wa ujauzito Wapo baadhi ya wanawake wajawazito wamekuwa wakinitafuta na kuniuliza kwanini wanaishiwa au wanapungukiwa na hamu ya kula chakula. Wengi wao wanasema tatizo hilo hawakuwahi kuwa nalo kabla ya kuwa na ujauzito. Basi kwenye makala hii nitajadili kwa kirefu juu ya sababu ya kupungua hamu ya kula […]

Dawa ya chango la uzazi kwa mwanamke

Dawa ya chango la uzazi kwa mwanamke Chango la uzazi ni nini? Chango la uzazi ni mojawapo ya magonjwa yanayoshambulia via vya uzazi vya mwanamke na kumletea maumivu makali ya tumbo muda mchache kabla ya siku zake na wakati wote akiwa kwenye hedhi. Chango la uzazi linaweza kuwapata watu wa jinsia zote mbili yaani mwanamke […]

Fahamu nchi 5 duniani ambazo unalipwa ‘pesa nono’ ili uzae watoto wengi

Rais wa Urusi alitoa agizo wiki hii akiboresha tuzo inyoitwa “Mothers of Veterans”, ambayo ilianzishwa mwaka 1944 na serikali ya Umoja wa Kisovieti. Tuzo hii inalenga kuhamasisha familia kuwa na watoto wengi zaidi. Rais Putin alisema wiki hii kwamba tuzo hiyo ambayo inaendana na fedha na vitu vingine vya thamani itatolewa kwa kila mama atakayejifungua […]

Shida na matatizo ya kuzaa watoto mapacha

Shida na matatizo ya kuzaa watoto mapacha Hakuna mtu asiyependa kubahatika siku moja apate watoto mapacha. Hakuna asiyetamani hilo. Lakini ni wangapi kati yenu huwa mnakaa na kutathmini ni gharama kiasi gani inaweza kuwapata endapo kweli mtabahatika kupata hao mapacha?. Watu wengi hawafahamu ni nini hasa wanakitaka kwenye maisha yao na hata wale wanaofahamu nini […]

Kosa kubwa 1 wanalofanya wanaume wengi pale wake zao wanapochelewa kushika ujauzito

Kosa kubwa 1 wanalofanya wanaume wengi pale wake zao wanapochelewa kushika ujauzito Nipende kutumia nafasi hii kutoa pole kwenye ndoa yoyote ambayo wamekuwa wakipitia changamoto ya kutopata mtoto kwa kipindi kirefu. Ninafahamu ni kwa jinsi gani tatizo hili linavyosumbua kwenye nyumba nyingi hasa miaka ya karibuni. Nafahamu kabisa kama ningetangaza kwamba natoa bure dawa ya […]

Wanawake 500 wapata mimba kwa upandikizaji Arusha

Wanawake 500 wapata mimba kwa upandikizaji Arusha. Mwanamke mmoja (50), amefanikiwa kupata watoto mapacha kwa njia ya upandikizaji mimba jijini Arusha. Mwanamama huyo ni mmoja kati ya wanawake 500 waliofanikiwa kupata watoto kwa huduma hiyo inayotolewa na kituo cha Huduma ya Uzazi na Upandikizaji Mimba cha Avinta Care Medical kilichopo jijini humo. Akizungumza na waandishi […]

Sababu kuu 2 za wanawake kupenda kujichua

Sababu kuu 2 za wanawake kupenda kujichua Nitumie nafasi hii kutoa salamu kwa wanawake wote katika sikukuu hii yao ya leo, siku ya wanawake duniani tarehe 8 machi 2022. Mimi mpaka hapa nilipo nimefika kwanza kwa kuzaliwa na mwanamke lakini siyo hivyo tu bali nimeshasaidiwa mengi sana na wanawake kwa mengi wakiwemo wanawake ndugu zangu, […]

Namna ya kufahamu mzunguko wako wa hedhi ni wa siku ngapi

Namna ya kufahamu mzunguko wako wa hedhi ni wa siku ngapi Ili kufahamu vizuri ni siku zipi ni hatari kwa mwanamke kupata mimba, unahitaji kwanza kujifunza jinsi mzunguko wa hedhi (menstrual cycle) unavyofanya kazi. Mzunguko wa hedhi unaanza kuhesabiwa siku ya kwanza wakati mwanamke anaanza kuona siku zake (kublidi) na tunaiita ni siku ya Kwanza. […]

Nitajuaje kama ujauzito wangu umetoka?

Nitajuaje kama ujauzito wangu umetoka? Kama unatafuta dawa ya asili ya kuzuia ujauzito usitoke wasiliana na mimi kwa kubonyeza hapa Dalili za wazi kabisa za ujauzito kukutoka ni damu kutoka na maumivu ya tumbo. Onana na daktari wako wa karibu kwa haraka endapo unahisi ujauzito wako umekutoka. Wakati mwingine unaweza usione dalili zozote za kutoka […]

Dodoma inavyomaliza mwaka na huduma ya kupandikiza mimba

Dodoma inavyomaliza mwaka na huduma ya kupandikiza mimba Dodoma. Zikiwa zimebaki siku chache kufunga mwaka wa 2021, ndoto ya Tanzania kuanza kutoa huduma ya kupandikiza mimba kwa wanawake wenye matatizo ya uzazi imeanza kuonekana kwenye Hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma. Hospitali hiyo ilianzishwa 2015 kwa tamko la Rais wa nne, Jakaya Kikwete na ilizinduliwa […]

Vyakula na vinywaji 11 ambavyo mama mjamzito hatakiwi kula

Vyakula na vinywaji 11 ambavyo mama mjamzito hatakiwi kula. Kitu cha kwanza kabisa unachotakiwa kujifunza mara tu unapopata ujauzito ni kufahamu vyakula na vinywaji ambavyo hutakiwi kula. Bila kuwa makini wakati huu unaweza kukutana na matatizo mengi yanayotokana na ujauzito ikiwemo ujauzito wenyewe kukutoka. Hakuna kitu kinaumiza kama mtu umehangaika kutafuta ujuauzito kwa miezi kadhaa […]

Sababu 4 kwanini hupati ute wako wa uzazi

Sababu 4 kwanini hupati ute wako wa uzazi Ute wa mimba ni ute unaovutika, ni ute muhimu sana linapokuja suala la kutungwa kwa ujauzito. Ute huu ambao huvutika mithili ya yai husaidia mbegu kuogelea na kupenya kwenye mlango wa kizazi na kwenda kulirutubisha yai kwenye mirija. Baadhi ya njia za uzazi wa mpango zinapelekea kukosa […]

Jinsi ya kuishi inapogundulika huna uwezo kabisa wa kupata mtoto

Jinsi ya kuishi inapogundulika huna uwezo kabisa wa kupata mtoto Umeshatafuta mtoto kwa miaka mitatu, kwa miaka mitano au hata miaka kumi na hakuna dalili zozote kama utakuja kumpata. Mmeshapima kila hospitali na imegundulika wazi hakuna uwezekano tena wa kupata ujauzito. Pengine mmeshatumia dawa mbalimbali toka hospitali mbalimbali na bado hampati ujauzito. Mmeshajaribu hata dawa […]

Mahari yangu ilirejeshwa kutokana na utasa

Roseline Orwa ni mama wa miaka 46, yeye ni mwanamke mjane ambaye hakufanikiwa kushika mimba wakati wa ndoa zake mbili , ila hilo halijamkosesha usingizi kwa kukubali hali yake. Baada ya yeye kuamua kuwa, licha ya changamoto ya kuwa hana uwezo wa kushika mimba basi amewarithi watoto mayatima na kuwalea kama Watoto wake. Kwa hivi […]

Je kutopata mtoto kunakuondolea hamu ya tendo la ndoa?

Je kutopata mtoto kunakuondolea hamu ya tendo la ndoa? Nafahamu hilo na sidhani kama hilo ni swali la kuuliza. Sababu inajulikana wazi kwamba ikiwa umekaa miaka kadhaa na hupati mtoto basi ni jambo la kawaida kabisa kuishiwa hamu ya tendo la ndoa. Hata hivyo mechi lazima iendelee Inawezekana mama hatumii tena uzazi wa mpango, inawezekana […]

Dawa ya kupata ute wa mimba

Dawa ya kupata ute wa mimba Ute wa uzazi anaoupata mwanamke pale anapokuwa katika kipindi cha upevushaji mayai ndiyo unaosaidia mbegu za kiume ziweze kusafiri hadi katika yai lililopevuka katika mrija wa uzazi. Kwa kawaida ute wa uzazi ni mwepesi na unavutika au unakuwa na mnato. Matatizo ya uzazi yanayomfanya mwanamke asipate ujauzito husababishwa na […]

Je unaweza kupata ujauzito wakati unaendelea kutumia dawa za uzazi wa mpango?

Je unaweza kupata ujauzito wakati unaendelea kutumia dawa za uzazi wa mpango? Dawa karibu zote za uzazi wa mpango zile za kizungu na hata za asili zote zina asilimia mpaka 99 tu za kufanya kazi ya kuzuia usipate ujauzito hasa kama zinatumika vizuri na kama inayopaswa. Ninaposema zinapaswa kutumika vizuri na kama inavyopaswa namaanisha kwamba […]

Mbinu nyingine zaidi ya kupata ujauzito wa watoto mapacha

Mbinu nyingine zaidi ya kupata ujauzito wa watoto mapacha Leo nimependa nikuletee elimu mpya kabisa ya uzazi ambapo mwanamke yeyote anaweza kupata ujauzito wenye watoto mapacha hata kama si asili ya ukoo wake. Baadhi ya mila na desturi, hasa katika nchi za Kiafrika zinaamini kwamba, mwanamke kupata watoto mapacha kunatokana na urithi wa kizazi chake, […]

Vyakula 7 vinavyoongeza uwezekano wa kupata watoto mapacha

Vyakula 7 vinavyoongeza uwezekano wa kupata watoto mapacha Nakumbuka siku mke wangu alipojifungua mtoto wa kiume nilienda kununua kuku mzima wa kienyeji akabanikwa nikachukua na mvinyo mwekundu (red wine) nikatafuta sehemu nikasherekea kwa furaha kuu. Ilikuwa ni siku ya furaha kubwa maishani mwangu na sikuamini kama kweli Mungu amenipa mtoto wa kiume. Sasa nipo nasubiri […]

Vitu 10 vinavyoweza kusababisha upate watoto mapacha

Vitu 10 vinavyoweza kusababisha upate watoto mapacha Tafiti zinaonyesha kwamba uwezekano wa mwanamke mmoja kubeba mimba ya mapacha ni aslimia 3 na kuna njia mbalimbali zinaweza kuongeza uwezekano huu mpaka asilimia tano au kumi na tutaziona hapo chini. Kwenye ulimwengu huu wa maisha magumu wanawake wengi hupenda kuzaa mapacha mara moja tu wa jinsia tofauti […]

Je unaweza kupata ujauzito ukiwa kwenye siku zako?

Je unaweza kupata ujauzito ukiwa kwenye siku zako? Hili ni moja ya swali kongwe sana kwenye mada zinazohusu uzazi. Ni swali ambalo linaulizwa sana hasa na wanafunzi au na watu wasio tayari kupata ujauzito. Swali hili huulizwa pia na watu wazima walio kwenye ndoa ambao wameshatafuta ujauzito kwa muda mrefu bila mafanikio. Kwenye majibu yangu […]

Madhara 10 ya kupiga punyeto kwa mwanamke

Madhara 10 ya kupiga punyeto kwa wanawake Mara nyingi tumekuwa bize tukizungumzia madhara au athari za kujichua kwa wanaume bila kuwahi kuzungumzia madhara hayo kwa wanawake. Ukweli ni kuwa wanawake nao wanajichua au wanajipiga punyeto kama wanaume na kitendo hicho kina madhara kiafya kwao kama ilivyo kwa wanaume hivyo kukaa kimya bila kulizungumzia hilo ni […]

Kikokotoo cha siku ya kupata ujauzito

. Siku ya hatari kupata ujauzito: Je unahitaji au unataka kujuwa siku yako ya hatari kupata ujauzito? Unataka kujuwa ni zipi hasa au siku ipi hasa unayoweza kupata ujauzito? Tumia calculator hiyo hapo juu kufahamu hilo a)Andika tarehe ya siku ya kwanza ulipoanza kuona siku zako katika hedhi yako ya mwisho b)Andika mzunguko wako ni […]

Makosa makubwa kabisa 6 wafanyayo wanawake kitandani

Makosa makubwa kabisa 6 wafanyayo wanawake kitandani   Nimewahi kuandika huko siku za nyuma makosa makubwa manne wafanyayo wanaume kitandani, ni makala ilipendwa sana na wote na unaweza kuiona na kuisoma wakati wowote kwa kubonyeza hapa. Baadhi ya watu walinitafuta na kunitaka niandike pia na makosa wafanyayo wanawake kitandani ili kupata balansi. Na leo nimeona […]

Sababu 9 zinazosababisha ukose au uchelewe kuona siku zako

Sababu 9 zinazosababisha ukose au uchelewe kuona siku zako Kwa mwanamke kuchelewa kupata hedhi huwa hakushitui iwapo mwanamke anajua ni nini tatizo au sababu iliyopelekea yeye kukosa hedhi. Na majibu ya kuchelewa kwa hedhi hupatikana pindi hedhi hiyo inapochelewa. Mfano kama ulikua unategemea kupata mimba, ikichelewa inakua ni dalili ya kwanza ya wewe kuanza kufikiria […]

Aina 4 za wanawake ambao hawawezi kuolewa

AINA 4 ZA WANAWAKE AMBAO HAWAWEZI KUOLEWA Makala hii inaeleza juu ya aina 4 za wanawake ambao hawawezi kuolewa au wanaolewa kwa kuchelewa sana. Vitu vingi ninavyojadili hapa ni tabia na zinaweza kurekebishika iwapo mhusika atakuwa tayari kubadilika. Kwenye maisha hakuna kitu kizuri au hakuna silaha kubwa unaweza kupata kama kupata ufahamu na uwezo wa […]

Vitu 6 wanawake wanatakiwa kufanya ili kujikinga na uvimbe kwenye kizazi

Vitu 6 wanawake wanatakiwa kufanya ili kujikinga na uvimbe kwenye kizazi Inakadiriwa asilimia 70 mpaka 80 ya wanawake wanaweza kupatwa na ugonjwa huu katika safari yao ya kuishi. Hata hivyo si wanawake wote wenye uvimbe kwenye kizazi wanaweza kuonyesha dalili kwamba wanao au wanahitaji matibabu. Uvimbe katika mfuko wa kizazi wa mwanamke hujulikana kama ‘uterine […]

Chanzo cha kufunga au kupata choo kigumu wakati wa ujauzito

CHANZO CHA KUFUNGA AU KUPATA CHOO KIGUMU WAKATI WA UJAUZITO Kipindi cha ujauzito ni kipindi cha furaha kubwa kwa mwanamke yoyote. Hata hivyo kuna baadhi ya mabadiliko ya kiafya yanayoweza kukutokea unapokuwa na ujauzito ambayo yanaweza kukuondolea furaha hiyo ikiwemo tatizo la kupata choo kigumu sana au kufunga choo kabisa na kupelekea tatizo la ugonjwa […]

Chakula cha mama mjamzito

CHAKULA CHA MAMA MJAMZITO Kwa ajili afya ya mama na mtoto ni muhimu sana, mwanamke anatakiwa apate chakula bora kilicho na madini yote kama vitamini na protini. Mama mjamzito anatakiwa apate gramu 100 za protini kila siku. Ifuatayo ni mlo kamili anaotakiwa apate mama mjamzito kila siku ya ujauzito wake kwa afya bora. Nimeweza kukundalia […]

Vitu 14 vinavyosababisha mimba kuharibika

Vitu 14 vinavyosababisha mimba kuharibika Mimba kuharibika ni tukio linalowatokea wanawake na mamalia wengine wa kike kutokana na shida mbalimbali katika ukuaji wa mimba tumboni mwa mama. Ni tukio tofauti na utoaji mimba ambalo linasababishwa na binadamu kwa makusudi. Matukio yote mawili kwa kawaida yanaleta matatizo mbalimbali kwa mama. Kuharibika kwa kijusi au kiinitete pengine […]

Kama una stress ni vigumu kupata ujauzito

Kama una stress ni vigumu kupata ujauzito   Ni ukweli usiopingika kuwa ndoa nyingi zimepoteza furaha kutokana na watoto kukosekana miongoni mwa wanandoa. Wanawake na wanaume wamejikuta wakiangukia katika mikono ya matapeli wanaojiita waganga na kufanyiwa mambo mengi ya ajabu, ikiwa ni pamoja na kufanya mapenzi na mizimu au na watu ambao hawakuwatarajia ili tu […]

Dalili 18 zinazoashiria una ujauzito wa mtoto wa kiume

Dalili 18 zinazoashiria una ujauzito wa mtoto wa kiume Awali ya yote nitoe pongezi kwa mama K na Baba K wote popote walipo kwa kazi nzuri na baraka ambayo wanaisubiri kutoka kwa Mungu (mtoto). Mojawapo ya mambo ambayo yanatia furaha katika maisha ya ndoa ni pale wanandoa wanapokuwa wapo kwenye kipindi cha kutegemea mtoto. Mambo […]

Ukosefu wa usingizi unaweza kuleta ugumba

UKOSEFU WA USINGIZI UNAWEZA KULETA UGUMBA KITENDO cha kukosa usingizi mara kwa mara wakati wa kulala kuna weza kuonekana ni jambo ambalo halina madhara kiafya, lakini ukweli ni kwamba unapokosa usingizi, hasa kwa muda mrefu, kuna athari kubwa katika afya yako yote, hata kama unakula na kufanya mazoezi vizuri. Madhara ya ukosefu wa usingizi huathiri […]

Jinsi ya kupata mtoto wa kiume

Jinsi ya kupata mtoto wa kiume Makala hii inaeleza kwa kina juu ya jinsi ya kupata mtoto wa kiume. Uzazi wa mpango ni jumla ya vitu vingi sana. Uzazi wa mpango hauhusu kuzuia kupata ujauzito tu bali hata kupangilia idadi na jinsia za watoto ni moja ya njia za uzazi wa mpango… Wanandoa wengi wamekua […]

Dalili za mimba

Kwenye makala hii nakuonyesha dalili za mimba zote za mwanzo na zile za baada ya miezi miwili hivi. Kama unataka kujuwa siku zako za hatari tumia kikokotoo (calculator) hiki hapa chini, andika tarehe ya siku ya kwanza ulipoona hedhi yako ya mwisho na ujaze mzunguko wako una siku ngapi kisha bonyeza TUMA na usubiri majibu. […]

Vitu vya kuacha unapotafuta ujauzito

Wakati unatafuta ujauzito chakula au vinywaji unavyotumia vina mchango mkubwa katika kufanikisha wewe upate ujauzito. Ulivyo ni kile unachokula kila siku. Unahitaji kuwa makini sana miezi mitatu mpaka sita kabla hujapata ujauzito. Uangalizi pia uendelee hata baada ya kuwa umepata ujauzito. Watu wengi niliokutana nao kwa habari ya matatizo ya kutopata ujauzito na nikawashauri juu […]

Mimba kuharibika maswali na majibu

MIMBA KUHARIBIKA MASWALI NA MAJIBU Hapo kabla tulisoma kuhusu dawa ya kuzuia mimba kuharibika, tuliona nini husababisha hali hiyo, dalili zake na vitu vinavyosababisha tatizo hili. Leo tutaangalia baadhi ya maswali na majibu kuhusiana na mimba kuharibika na ikiwa unalo swali lingine tofauti na haya liulize tu hapo chini. Soma hii pia > Dawa ya […]

Dawa ya asili ya kuzuia mimba kuharibika

Mimba kuharibika ni tukio linalowatokea wanawake na mamalia wengine wa kike kutokana na shida mbalimbali katika ukuaji wa mimba tumboni mwa mama. Ni tukio tofauti na utoaji mimba ambalo linasababishwa na binadamu kwa makusudi. Matukio yote mawili kwa kawaida yanaleta matatizo mbalimbali kwa mama.Kuharibika kwa kijusi au kiinitete pengine kunatokana na mfadhaiko wa kiajali au […]

Dawa ya kurekebisha mzunguko wa hedhi

Dawa ya kurekebisha mzunguko wa hedhi Hili ni tatizo linalowatokea karibu wanawake wote katika safari yao ya kuishi hapa chini ya jua. Tatizo la kuvurugika kwa mzunguko wa hedhi huanza ghafla au polepole ambapo mwanzo mwanamke alikuwa akipata siku zake katika utaratibu unaoeleweka lakini mara haelewi au hajielewi namna mzunguko wake unavyoenda. Kuvurugika kwa hedhi […]

Chakula cha Mwanamke anayetafuta Ujauzito

Chakula cha Mwanamke anayetafuta Ujauzito Fanya mabadiliko haya kwenye mlo wako ili kuboresha afya yako ya uzazi. Je unatafuta ujauzito? Unajuwa ni chakula kipi upendelee kula ili kuongeza uwezekano wa kupata ujauzito au kuimarisha afya ya ujauzito kwa ujumla? Kwenye makala hii naeleza vyakula mhimu unavyotakiwa kupenda kula ili kujiongezea afya yako ya uzazi. Kwa […]

Siku ya hatari kwa mwanamke kushika mimba

Siku ya hatari kwa mwanamke kushika mimba Tumia kikokotoo (calculator) hiki hapa chini kufahamu siku zako za hatari, andika tarehe ya siku ya kwanza ulipoona hedhi yako ya mwisho na ujaze mzunguko wako una siku ngapi kisha bonyeza TUMA na usubiri majibu. Ili kufahamu vizuri ni siku zipi ni hatari kwa mwanamke kupata mimba, unahitaji […]

Hadithi 15 za uongo kuhusu kushika ujauzito

Huenda umesikia hadithi fulani kuhusu jinsi ya kupata mimba au jinsi ya kuhakikisha hupati mimba. Kwa kweli, mbinu ya hakika ya kutopata mimba ni kutofanya mapenzi. Kutofanya mapenzi pia kutakuzuia kupata magonjwa ya zinaa. Watoto hutengenezwa wakati mbegu za kiume zimekutana na yai la mwanamke. Wakati mume na mke wanafanya mapenzi, mbegu za kiume huogelea […]

Dawa ya asili ya kupata mimba haraka

Dawa ya asili ya kupata mimba haraka.  Hii ni dawa ya asili ya kupata mimba haraka inayosaidia pia kuweka sawa homoni, kuondoa uvimbe kwenye kizazi, kupevusha mayai, kuzuia ujauzito usitoke, kutibu chango la uzazi, kuzibua mirija ya uzazi, kutibu maambukizi kwenye kizazi (PID) na matatizo mengine mengi ya uzazi kwa pamoja. Ugumba ni hali ya […]

Dawa ya kuweka sawa homoni

Dawa ya kuweka sawa homoni Homoni zina mchango mkubwa katika afya kwa ujumla katika mwili wa mwanamke hasa linapokuja suala la uzazi. Mara nyingi usawa usio sawa wa homoni husababishwa na mabadiliko katika homoni ya ‘estrogen’. Mabadiliko haya mara nyingi hutokea wakati wa kuvunja ungo, wakati wa hedhi, wakati wa ujauzito na wakati wa ukomo […]

Dawa ya asili ya kuongeza hamu ya tendo la ndoa kwa mwanamke

Dawa ya asili ya kuongeza hamu ya tendo la ndoa kwa mwanamke Hili ni tatizo ambalo nimekuwa nikiulizwa mara nyingi sana na wanawake wengi kwa muda mrefu sasa.  Wapo ambao wameshakuja hata kuniona kwa macho kwa ajili ya tatizo hili. Kweli unaweza ukadhani ni utani lakini ni tatizo linalozidi kuongezeka katika jamii yetu miaka ya […]

Dawa ya P.I.D

Dawa ya P.I.D P.I.D ni ugonjwa gani? Maambukizi Katika Mfumo wa Uzazi wa Mwanamke (PID) Maambukizi katika via vya uzazi vya mwanamke hujulikana kwa kitaalamu kama ‘Pelvic Inflamatory Diseases’ yaani P.I.D P.I.D ni ugonjwa mpya katika jamii yetu na ni moja ya matatizo ambayo huwaathiri sana wanawake. Maambukizi haya huweza kuhusisha shingo ya uzazi, yanaweza […]

Dawa ya uvimbe kwenye kizazi

Dawa ya uvimbe kwenye kizazi Uvimbe katika mfuko wa kizazi wa mwanamke hujulikana kama ‘uterine myoma’ au fibroid. Uvimbe huu hutokea kwenye misuli laini ya mfuko wa uzazi. Uvimbe huu hutokea katika sehemu mbalimbali juu au ndani ya mji wa uzazi wa mwanamke. Ni uvimbe ambao hauhusiani na kansa na unaweza kubadilika rangi ukawa wa […]

Dawa ya hedhi isiyoisha

Siku za kuwa mwezini kwa kawaida kwa mwanamke huwa ni kati ya siku 3 mpaka 7. Hata hivyo hutokea kwa baadhi ya wanawake hasa wale wenye umri mkubwa wanapata hedhi kwa siku nyingi zaidi ya siku 7 na huambatana na kupata damu nzito na yenye mabonge mabonge sambamba na maumivu makali. Tatizo hili kitaalamu hujulikana […]

Dawa ya kupevusha mayai ya uzazi

Dawa ya kupevusha mayai ya uzazi Kama mwanamke, afya nzuri ya mayai ya uzazi ni mhimu kwa ajili ya kuwa na mzunguko mzuri wa hedhi na kuwa na uwezo wa kushika ujauzito. Je ni dawa gani nzuri ya asili kwa ajili ya kuongeza afya ya mayai yako ya uzazi? Makala hii inajadili hilo kwa kina. […]