Dawa ya asili ya kupata mimba haraka

Dawa ya kusaidia kupata mimba haraka

Last Updated on 15/11/2024 by Tabibu Fadhili Paulo

Dawa ya asili ya kupata mimba haraka

Hii ni dawa ya asili ya kupata mimba haraka inayosaidia pia kuweka sawa homoni, kuondoa uvimbe kwenye kizazi, kupevusha mayai, kuzuia ujauzito usitoke, kutibu chango la uzazi, kuzibua mirija ya uzazi, kutibu maambukizi kwenye kizazi (PID) na matatizo mengine mengi ya uzazi kwa pamoja.

Ugumba ni hali ya mwanamke kushindwa kushika ujauzito.

Linaweza kuwa tatizo pia kwa mwanaume lakini katika makala hii tutaona nini kinasababisha tatizo hili kwa upande wa wanawake.

Kama unapenda kufahamu vitu vinavyoweza kusababisha ugumba kwa wanawake bonyeza hapa 

 

Dawa ya asili ya kupata mimba haraka

Uzazi Mjarabu

Uzazi Mjarabu ni dawa ya asili yenye mchanganyiko wa mitishamba na mimea mbalimbali ya asili maalumu kwa ajili ya kutibu matatizo mbalimbali ya uzazi na kukuwezesha kupata ujauzito.

Ni dawa ya asili yenye uwezo wa kutibu matatizo mbalimbali yanayosababisha ugumba kwa pamoja.

Inasaidia kuweka sawa homoni, kuondoa uvimbe kwenye kizazi, kupevusha mayai, kuzuia ujauzito usiharibike, kuzibua mirija, kutibu maambukizi kwenye kizazi, kutoa sumu mwilini, kuleta ute wa uzazi na mengine mengi kwa pamoja.

Dawa hii ina viinilishe, madini na vitamini zote mhimu kwa ajili ya kutungisha mimba kama ifuatavyo;

Uzazi mjarabu ina:

1. Vitamini B6

Kazi kubwa ya vitamini B6 ni kusaidia mimba kukaa sawa na salama wiki mbili za mwanzo tangu ujauzito utungwe (Luteal phase).

Hiki ni kipindi cha maandalizi cha kipindi kingine kijacho katika safari ya ujauzito na ni lazima mazingira yawe ya afya katika mji wa uzazi wa mwanamke ili kweli ujauzito uendelee kukua.

Hivyo siku hizi 14 za mwanzo vitamini B6 ni ya mhimu ili ujauzito ubaki na afya.

Kama huna hii vitamini vya kutosha basi hizi siku 14 hazitafika na ndani ya siku 7 au 10 ujauzito utakutoka.

2. Vitamini B12

Vitamini B12 ni vitamini mhimu sababu husaidia kuweka sawa homoni.

Kama matokeo yake inakusaidia kupata siku zako vizuri na kama siku zako zinaenda vizuri basi ni rahisi pia kwako kupata ujauzito wenye utulivu na afya bora ya mtoto.

Vitamini hii ni mhimu sana kwa ajili ya afya ya uzazi ya mwanamke. 

3. Vitamini C

Vitamini C imekuwa ikihusishwa na uzazi kwakuwa inasaidia kuweka sawa homoni na kukupa mzunguko mzuri wa hedhi vitu ambavyo ni mhimu ili uwe na afya ya kuweza kupata ujauzito.

Hii ni vitamini mhimu kwa kinamama ambao wamekuwa wakitumia dawa za uzazi wa mpango kwa kipindi kirefu.

Husaidia mji wa uzazi uwe tayari na sawa kwa ajili ya kutunga ujauzito.

Vitamini hii inaisapoti homoni ya ujazi ijulikanayo kama ‘progesterone’ katika mwili na kuimarisha kuta za mji wa uzazi baada ya mimba kutungwa.  

4. Vitamini D

Upungufu wa Vitamini D umekuwa ukihusishwa na ugumba moja kwa moja.

Tafiti zinaonyesha upungufu wa vitamini D unaathiri tishu au ogani za uzazi za mwanamke kwamba ogani hizo haziwezi kufanya kazi kwa ufanisi na kuleta matokeo chanya.

Vitamini D pia ina umhimu mkubwa katika kukua kwa seli na ufanyaji kazi wake.

Tafiti zinaonyesha wanawake wenye vitamini D ya kutosha wanakuwa na mji wa uzazi mzuri na wenye afya.

5. Vitamini E

Bila Vitamini E ni vigumu kupata ujauzito.

Hii ni vitamini mhimu katika kulinda afya ya seli zetu na hufanya kazi ya kuondoa sumu mwilini na hivyo kuzilinda seli zisidhurike kirahisi.

Hii inajumuisha seli za mayai ya uzazi, kuta zinazozunguka yai zimetengenezwa kwa vitamini E.

6. Madini ya Folate (folic acid) 

Kuwa na kiasi cha kutosha cha madini haya ni jambo la mhimu ikiwa unahangaika kupata ujauzito.

Madini haya ni mhimu ili kuzuia ujauzito usitoke.

Ni mhimu mwili uwe na madini haya mapema wakati wowote unapojiandaa kushika ujauzito.

Ukisubiri mpaka upate ujauzito ndiyo uanze kutafuta haya madini tayari utakuwa umeshachelewa.

7. Madini ya chuma

Madini ya chuma yana uhusiano wa moja kwa moja na uzazi.

Yanahitajika ili kuzizalisha homoni mbili mhimu za uzazi ambazo ni estrogen na progesterone, ambazo ni homoni mhimu kwa utungaji wa kawaida wa ujauzito.

Tafiti zinaonyesha wanawake wenye kiasi kidogo cha madini haya mwilini mwao wanapata wakati mgumu katika kushika ujauzito.

Mara tu upatapo ujauzito madini ya chuma ni ya mhimu sana ili kuwa na ujauzito wenye afya kipindi chote cha miezi 9.

8. Omega-3 na Omega-6

Haya hujulikana kama mafuta mazuri (good fats).

Kumbuka siyo kila mafuta ni mabaya kwa mwili wako, yapo mafuta mazuri na ambayo yanahitajika na mwili wako ili kuwa na afya bora.

Omega-3 na Omega-6 husaidia kuweka sawa homoni zako na kuzifanya zifanye kazi kwa usahihi jambo linalohamasisha uhakika wa kuwa na uwezo wa kutunga kwa mimba na kuwezesha damu kusambaa vizuri kwenye ogani za uzazi.

9. Madini ya Selenium

Selenium ni madini madogo ambayo hufanya kazi kama kiondoa sumu mwilini na hivyo kuimarisha ubora wa seli zetu.

Pia ni madini mhimu kwa ajili ya uundwaji wa mayai na hudhibiti kazi za tezi ya thyroid, tezi ambayo ni mhimu kwa uzalishwaji na uwekaji sawa wa homoni.  

10. Madini ya Zinki

Madini ya zinki ni mhimu kwa pande zote mbili kwa mwanamke na mwanaume.

Kwa wanawake zinki husaidia uzalishwaji wa mayai na kuyaweka mayai yenye afya na kuweka sawa homoni.

Upungufu wa madini ya zinki pia unahusishwa na mimba kuharibika katika wiki za mwanzo mwanzo tangu kutungwa kwake.

Hivyo kama umekuwa na bahati ya kupata ujauzito halafu haichukuwi muda zinatoka kuna uwezekano mkubwa una kiasi kidogo cha madini ya zinki kwenye mwili wako.

Dawa hii inaweza kutumika na mwanamke yeyote ambaye amekuwa akitafuta ujauzito bila mafanikio iwe anajua sababu za tatizo au hata kama hospitali wanasema kila kitu kipo sawa lakini hupati ujauzito.

Kwa kifupi Uzazi mjarabu :

Inatibu matatizo mengi ya Uzazi kwa pamoja na kusaidia kupata ujauzito

*Inaweka sawa homoni

*Inaweka sawa mzunguko wa hedhi

*Inaondoa uvimbe

*Inaimarisha afya ya mayai

*Inatibu chango la Uzazi

*Inazuia mimba kutoka

*Inazibua mirija ya mayai

*Inatibu maambukizi kwenye mji wa uzazi (PID)

*Inaleta ute wa uzazi

*Inasogeza kizazi

*Inaondoa sumu au takataka zozote zisizohitajika kwenye mfumo wa uzazi na mwilini kwa ujumla

*****

Naitwa Fadhili Paulo, ni Tabibu wa Tiba asili. Ninayo ofisi yangu binafsi Jijini Dar Es Salaam. 

Kama unahitaji Uzazi Mjarabu kwa ajili ya kutibu matatizo mbalimbali ya uzazi na kupata ujauzito, niachie ujumbe WhatsApp +255714800175 

Uzazi mjarabu inagharimu Tsh 180,000 (laki 1 na elfu 80) ni ya kunywa kwa siku 60. 

Ofisi yangu inaitwa TUMAINI HERBAL LIFE, Ipo Kibugumo Mji Mwema Kigamboni.

Kwa Dar Es Salaam tunaweza pia kukuletea mpaka ulipo kama utataka, hakuna gharama ya nauli (ni free delivery popote ndani ya Dar). 

Natuma pia popote ulipo nje ya Dar Es Salaam ndani ya Tanzania, mteja analipa hela baada ya kupata dawa mkononi na pia hakuna gharama ya nauli popote Tanzania. 

Ni mhimu pia ufahamu kwamba baadhi ya matatizo ya uzazi hayatibiki hata upate dawa kutoka wapi, mfano kama una makovu kwenye kizazi au umeshatoa mimba nyingi kabla na mengine mengi wewe mwenyewe unajua. 

Dawa inatibu matatizo yanayoweza kukuzuia usipate ujauzito lakini suala la kupata ujauzito tunamwachia Mungu.

Ninao watu wengi waliotumia Uzazi mjarabu na wamepata mafanikio mazuri;

1. Huyu nilimpa dawa tarehe 7 February 2022 kufika tarehe 11 March 2022 tayari alikuwa amepata ujauzito

Uzazi mjarabu

2. Huyu mwingine nilimpa dawa tarehe 21 novemba 2021 kufika tarehe 20 disemba 2021 tayari alikuwa ameshapata ujauzito

Uzazi mjarabu shuhuda

Na wengine wengi ninao waliofanikiwa. 

Njoo tuchat WhatsApp +255714800175. 

SHARE Post hii na wengine uwapendao.

Imesomwa na watu 68,042
Dawa ya asili ya kupata mimba haraka

19 thoughts on “Dawa ya asili ya kupata mimba haraka

  1. A fascinating discussion is worth comment. I believe that you should publish more about this
    issue, it might not be a taboo subject but typically folks don’t discuss these subjects.
    To the next! Many thanks!!

  2. Mimi tatizo langu nashika mimba na zinatoka baada ya mwezi7, je nitafanyaje ili mimba zangu zisiwe zinatoka toka na hitaji mtoto

  3. Niko kigoma nina miaka mitano nimeolewa ila sijapata mtoto nimepimwa et homoni zangu ziko chini sana msahada

  4. Kuna rafiki yangu alienda hospitali akaambiwa kuna tishu ya kizazi zimelaliana anauliza akipata matibabu anaeza pata mtoto yuko kenya ukunda msikiti nuru

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *