Last Updated on 05/11/2022 by Tabibu Fadhili Paulo
Dawa ya chango la uzazi kwa mwanamke
Chango la uzazi ni nini?
Chango la uzazi ni mojawapo ya magonjwa yanayoshambulia via vya uzazi vya mwanamke na kumletea maumivu makali ya tumbo muda mchache kabla ya siku zake na wakati wote akiwa kwenye hedhi.
Chango la uzazi linaweza kuwapata watu wa jinsia zote mbili yaani mwanamke hata mwanaume.
Katika makala hii tutaangalia kwa undani juu ya chango la uzazi kwa upande wa wanawake.
Chango la uzazi linasababishwa na nini?
Sababu za chango la uzazi
Chango la uzazi husababishwa na vitu vifuatavyo kwa upande wa wanawake;
1. Uzito mkubwa
2. Vichocheo aina ya Prolactin vinapozidi kwenye mzunguko wa damu kupelekea kuathiri uzalishwaji wa vichocheo vingine vijulikanavyo kama ‘Estrogen’ ambavyo husaidia katika uzalishaji na upevushaji wa mayai kwenye vifuko vya mayai
3. Mirija ya uzazi inapoziba
4. Maambukizi mbali mbali ya Magonjwa, hii ni pamoja na maambukizi kwenye vya uzazi (P.I.D)
5. Mwanamke kupatwa na tatizo la vifuko vya mayai kushindwa kufanya uzalishaji wa mayai pamoja na ukuaji wake kwa muda unaotakiwa
6. Kama matokeo ya Mvurugiko wa vichocheo vya mwili ambao huchangiwa na sababu mbali mbali ikiwemo njia za uzazi wa mpango.
7. Uvutaji wa sigara na ulevi wa kupindukia
Dalili za chango la uzazi kwa mwanamke
- Maumivu makali wakati wa tendo la Ndoa
- Kupata maumivu makali ya tumbo mara kwa mara
- Maumivu makali ya tumbo wakati wa hedhi
- Kuwa na homa kila mara anapoingia kwenye siku zake
- Kuwa na hasira za mara kwa mara hasa akiwa kwenye siku zake
- Siku za kwenda hedhi kubadilika kila mara na kutokuwa na mpangilio maalumu.
- Mimba kutunga nje mfuko wa uzazi (ectopic pregnacy)
- Kupata uvimbe kwenye kizazi (fibroids)
Madhara ya chango la uzazi
⦁ Vigumu kupata ujauzito
⦁ linaweza kumfanya mwanamke kuwa tasa kabisa
⦁ Mimba kuharibika mara kwa mara
⦁ Kupungua kwa hamu ya tendo la ndoa
⦁ Kuwa na uke mkavu muda mwingi
⦁ Kuvurugika kwa homoni
⦁ Mwanamke kutofika kileleni
⦁ Maumivu wakati wa tendo la ndoa
Tiba ya chango la uzazi
Hapa Tumaini Herbal Life tunayo dawa nzuri sana ya asili kwa ajili ya kutibu chango la uzazi.
Uzazi mjarabu inaponya kabisa chango la uzazi kwa mwanamke wa umri wowote na itakusaidia pia kupata ujauzito kirahisi.
Kama unahitaji dawa ya kutibu chango la uzazi bonyeza hapa.