Dawa ya kuweka sawa homoni

Last Updated on 05/11/2022 by Tabibu Fadhili Paulo

Dawa ya kuweka sawa homoni

Homoni zina mchango mkubwa katika afya kwa ujumla katika mwili wa mwanamke hasa linapokuja suala la uzazi.

Mara nyingi usawa usio sawa wa homoni husababishwa na mabadiliko katika homoni ya ‘estrogen’.

Mabadiliko haya mara nyingi hutokea wakati wa kuvunja ungo, wakati wa hedhi, wakati wa ujauzito na wakati wa ukomo wa hedhi (menopause).

Sababu za mvurugiko wa homoni ;

Vitu vingine vinavyopelekea mabadiliko ya homoni ni pamoja na:

  1. Kuongezeka umri,
  2. Lishe duni,
  3. Kutokujishughulisha na mazoezi,
  4. Kupungua kwa ogani ya adreno,
  5. Mfadhaiko au stress,
  6. Kukosa usingizi,
  7. Dawa za uzazi wa mpango,
  8. Sumu na kemikali mbalimbali nk.

Dalili za kuvurugika homoni 

Dalili zitakazokuonyesha homoni zako hazipo sawa ni pamoja na:

1. Kuwa na tabia ya hamaki (kukosa utulivu)
2. Uchovu sugu
3. Kuongezeka uzito
4. Kupungua kwa nywele
5. Maumivu ya kichwa ya mara kwa mara
6. Kukosa hamu ya tendo la ndoa
7. Chunusi
8. Kuwa na hamu na vyakula au vinywaji vya viwandani kila mara
9. Kushindwa kushika ujauzito
10. Kutokujisikia vizuri kila mara bila sababu maalumu
11. Kukosa usingizi
12. Hasira zisizo na sababu maalumu nk

Zipo dawa za asili zinazoweza kukusaidia kurekebisha na hatimaye kuweka sawa usawa wa homoni mwilini mwako.

Ni mhimu uonane na daktari kabla kwa uchunguzi, vipimo na ushauri zaidi kabla ya kuamua kutumia dawa hasa kama una matatizo kama ya uvimbe katika kizazi, saratani ya matiti, saratani ya kizazi au una saratani katika mirija ya uzazi.

Kama unatafuta dawa ya asili ya kuweka sawa homoni niachie tu ujumbe WhatsApp +255714800175

Mambo mengine mhimu :

Dawa ya kuweka sawa homoni

Pamoja na dawa, zingatia haya yafuatayo kwa matokeo mazuri zaidi:

• Kula parachichi 1 kila siku
• Tumia vyakula asili zaidi kuliko vya kwenye makopo na migahawani (fast foods)
• Tumia vyakula vyenye nyuzinyuzi (fiber) nyingi kwenye chakula chako
• Epuka kahawa, chai ya rangi, soda nyeusi na vinywaji vingine vyote vyenye kafeina ndani yake
• Achana na msongo wa mawazo (stress) na upate usingizi wa kutosha kila siku
• Usitumie dawa za uzazi wa mpango kama unahitaji kuweka sawa homoni zako
• Epuka vilevi vyote
• Kunywa maji mengi kila siku lita 2 hadi 3
• Usitumie vyakula vya moto kwenye vyombo vya plastiki

Kama unahitaji dawa ya kuweka sawa homoni bonyeza hapa.

Kama una swali au unahitaji ushauri uliza hapo kwenye comment nitakujibu.

Nisaidie ku-SHARE post hii kwa ajili ya rafiki zako wengine

Imesomwa na watu 4,617
Dawa ya kuweka sawa homoni

6 thoughts on “Dawa ya kuweka sawa homoni

    1. Dawa ya asili ya kukusaidia kushika ujauzito na kuweka sawa mzunguko wako ninayo, tuwasiliane WhatsApp +255714800175

  1. Nimetumia sindano 3 za uzazi wa mpango na njiti kwa miezi 4,sasa najaribu kushika mimba nakosa…. Dawa ya kunisaidia kupata mimba ipo?

    1. Ndiyo Esther, dawa ya asili kwa ajili ya tatizo lako ninayo. Tuwasiliane kwenye WhatsApp +255714800175

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *